KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, May 28, 2010

MOURINHO KUJINGA NA MADRID J3 AMA J4.


Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Real Madrid Jorge Valdano amesema Jose Mourinho anaetarajiwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo huenda akatambulishwa rasmi kwa waandishi wa habari mwanzoni mwa juma lijalo.

Valdano amesema meneja huyo anatarajiwa kuwasili nchini Hispania siku ya jumatatu ama jumanne na baada ya kukamilisha taratibu za mazungumzo na uongozi wa klabu ya Real Madrid ndipo atatambulishwa rasmi.

No comments:

Post a Comment