




Arsenal 3-1 Partizan Belgrade Kufuatia matokeo hayo Arsenal wamemaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi la nane hivyo huenda wakapangwa kukutana na Barcelona, Real Madrid, Bayern Munich ama Schalke katika hatua ya 16 bora ambayo inapangwa kesho mjini Nyon nchini Uswiz.
Matokeo ya michezo mingine ya ligi ya mabingwa barani ulaya ni pamoja na
AC Milan 0-2 Ajax
Bayern Munich 3-0 Basle
CFR 1907 Cluj-Napoca 1-1 Roma
Marseille 1-0 Chelsea
MSK Zilina 1-2 Spartak Moscow
Real Madrid 4-0 Auxerre
Shakhtar Donetsk 2-0 Braga
No comments:
Post a Comment