KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Thursday, December 2, 2010

BALOTELLI AMKOSHA MANCINI.


Kitendo cha mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Italia Super Mario Balotelli kupachika mabao mawili kati ya matatu dhidi ya klabu ya Red Bull Salzburg, meneja wa klabu ya Man City Roberto mancini ameonyesha hali ya kuendelea kumuamini mshambuliaji huyo.

Mancini amemzungumzia mshambuliaji huyo huku akiomnyesha uso wa furaha ambapo amesema Super Mario Balotelli ni mchezaji mzuri na ana matumaini mnakubwa ataendelea kuonyesha uwezo wake kila atapompa nafasi.

Amesema wengi hawamfuraghii mchezaji huyo kwa tabia zake, lakini ukweli ni kwamba kwa sasa anakua na ameanza kuonyesha hali mabadiliko ya kuisaidia klabu yake ambayo usiku wa kuamkia hii leo ikisonga mbele kwenye michuano ya ligi ya barani Ulaya.

Bao lingine ya Man city katika mchezo huo lilifungwa Adam Johnson.

No comments:

Post a Comment