KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Thursday, December 30, 2010

CHELSEA WAMEBEBWA - OWEN COYLE.


Owen Coyle meneja wa klabu ya Bolton Wanderers amepinga vikali bao lililofungwa na Florent Malouda katika dakika ya 61, ambapo amedai bao hilo halikua sahihi kutokana na mtoaji pasi Didier Drogba alikua ameotea.

Owen Coyle pia amesema kikosi chake kwa ujumla kilijituma ipasavyo wakati wote wa mchezo na kilionyesha hatua nzuri ya kufikai malengo ya kuibuka na ushindi lakini hatua hiyo haikufanikiwa kikamilifu kutokana na upinzani makali walioupata.

No comments:

Post a Comment