



Ipswich 1-0 West BromKufuatia matokeo hayo Ipswich Town watapambana na Arsenal katika hatua ya nusu fainali ambapo Ipswich wataanzia nyumbani na kisha mchezo wa pili wa hatua hiyo utaunguruma huko Emirates yalipo makao makuu ya klabu ya Arsenal.
West Ham Utd waliowabanjua Man Utd usiku wa kuamkia jana wao watapambana na Birmingham City ambao wataanzia Upton Park huko jijini Londn kisha watarejea nyumbani Sta Andrews kucheza mchezo wa pili wa hatua hiyo ya nusus fainali.
Michezo ya hatua ya nusu fainali inatarajiawa kuchezwa kati ya Januari 11 ama 12 na kisha michezo ya marudio itachezwa kati ya Januari 25 ama 26.
No comments:
Post a Comment