


Wakati michezo hiyo ikitarajiwa kuunguruma kesho meneja wa klabu ya Man Utd Sir Alex Ferguson ameonyesha furaha kufuatia baadhi ya wachezaji wake waliokua majeruhi kurejea mazoezini tayari kwa mchezo wa jumatatua ambapo mashetani wekundu watakuwa wenyeji wa Arsenal huko Old Trafford.
Wachezaji waliokua wakimuumiza kichwa mzee huyo ni Paul Scholes, Patrice Evra pamoaj na Rio Ferdinand.
No comments:
Post a Comment