Ligi kuu ya soka nchini Uingereza imeendelea tena kwa mchezo mmoja kuchezwa katika uwanja wa Anfield ambapo wenyeji Liverpool waliwakaribisha Aston Villa wanaotokea kwenye jiji la Birmingham.
Mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kujizolea point tatu muhimu kufuatia ushindi wa mabao matatu kwa sifuri yaliyopachikwa nyavuni na;
David N'Gog 14’
Ryan Guno Babel 16’
Maximiliano Rubén Rodríguez 56.
Ushindi huo wa Liverpool unawawezesha kufikisha point 22 ambazo zinawaweka kwenye nafasi ya nane katika msimamo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.

No comments:
Post a Comment