KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Thursday, December 30, 2010

Roberto Martinez AKUNWA NA DROO !!!


Meneja wa klabu ya Wigan Roberto Martinez, ameonyesha kufurahishwa na matokeo ya sare yaliyopatikana jana katika uwanja wa nyumbani huku akisikitishwa na kitendo cha Charles Nzogbia kuonyeshwa kadi nyekundu.

Martinez amesema limekua jambo zuri kwao kuokota point moja nyumbani, hatua ambayo amedai imewaokoa kutoka katika janga la kupoteza kabisa mchezo huo ambao tayari ulionekana huenda Arsenal wangefanikisha ushindi.

No comments:

Post a Comment