KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, December 31, 2010

Roy Hodgson AWATAKA ARADHI MASHABIKI WA LIVERPOOL.



Siku moja baada kuwataka mashabiki kuacha kasumba ya kukizomea kikosi cha Liverpool kimapokua katika uwanja wa nyumbani, meneja wa klabu hiyo Roy Hodgson, ametangaza kujutua hatua ya kutoa kauli hiyo.

Hodgson ametangaza kujutia maamuzi ya kutoa kauli hiyo kwa mashabioki hii leo alipozungumza na vyombo vya habari kuhusiana na maandalizi ya mchezo wa mwishoni mwa juma hili ambapo kikisi chake kitaebndelea kuwa nyumbani Anfield kwa kucheza na Bolton Wanderers.

Amesema hana budi kusamehewa kwa kauli mbaya aliyoitoa dhid ya mashabiki hao ambayo anakiari kwa namba moja ama nyingine itakua imewakera hasa ikizingatiwa hatua ya kikosi cha the reds kimekua kikifanya vibaya kila leo.

Amesema pengi hasira zilimpelekea kuyazuyangumza maneno hayo, lakini bado akaendelea kuomba msamaha huku akiwataka mashabiki wa klabu hiyo ya mjini Liverpool kuendelea kuimuonyesha ushirikiano mkubwa.

Mzee huyo mwenye umri wa miaka 63, mara baasda ya mchezo wa juzi alikaririwa na vyombo vya habari akisema kikosi chake kilicheza chini ya kiwango pia akawatioa shutuma mashabiki ambao amedai wamekua chanzo cha matokeo mabovu yanayopatikana msimu huu.

No comments:

Post a Comment