




Makundi manne ya michuano ya ligi ya mbaingwa barani Ulaya, usiku wa kuamkia hii leo yamemaliza michezo ya hatua hiyo na kufanikiwa kuzipata klabu nane zilizofanikiwa kusonga mbele kikamilifu baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza na ya pili kikamilifu.
Katika kundi la kwanza:
Weserstadion, Bremen
Werder Bremen 3-0 Inter Milan
De Grolsch Veste, Enschede
FC Twente 3-3 Tottenham
Amepita Spurs pamoja na Inter Milan
Kundi la pili;
Stade Gerland, Lyon
Lyon 2-2 Hapoel Tel-Aviv
Estádio da Luz, Lisbon
Benfica 1-2 Schalke 04
Amepita Shalke 04 pamoja na Olympic Lyon
Kundi la tatu;
Old Trafford, Manchester
Man Utd 1-1 Valencia
Atatürk, Bursa
Bursaspor 1-1 Rangers
Amepita Man Utd pamoja na Valencia
Kundi la nne;
Camp Nou, Barcelona
Barcelona 2-0 Rubin Kazan
Parken, Copenhagen
FC Copenhagen 3-1 Panathinaikos
Amepita FC Barcelona pamoja na Fc Copenhagen
Hatua ya makundi ya michuano hiyo ya ligi ya mbaingwa barani Ulaya inakamishwa hii leo kwa michezo ya kundi la tano hadi la nane kuchezwa kwenye viwanja tofauti;
Kundi la tano
Allianz-Arena, Munich
Bayern München v FC Basel
Dr. Constantin Radulescu, Cluj-Napoca
CFR 1907 Cluj v AS Roma
Kundi la sita;
Stade Vélodrome, Marseille
Olympique Marseille v Chelsea
Pod Dubnon, Žilina
MSK Zilina v Spartak Moskva
Kundi la saba;
Bernabéu, Madrid
Real Madrid v AJ Auxerre
Giuseppe Meazza, Milan
AC Milan v Ajax
No comments:
Post a Comment