KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Wednesday, January 5, 2011

CHELSEA MSITARAJIE MTEREMKO - Mick Mccarthy.


Meneja wa klabu ya Wolve Mick McCarthy ametoa tajhadhari kali kwa mpinzani wake kwa kumueleza kwamba sitegemee mteremko katika mchezo wa hii leo.

Amesema anatambua kikosi cha Chelsea kitataka kuutumia mchezo huo kama sehemu ya kurekebisha makosa lakini ukweli ni kwamba amewaandaa wachezaji wake kikamilifu kwa lengo la kuhakikisha point tatu zinasalia kwenye ardhi ya nyumbani.

No comments:

Post a Comment