KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, January 14, 2011

MAZINGIRA MAGUMU YAMKIMBIZA David Michael Bentley


Winga wa kimataifa toka nchini Uingereza na klabu ya Tottenham Hotspurs David Michael Bentley amekamilisha taratibu wa kusajiliwa kwa mkopo na klabu ya Birmingham City.

David Bentley amesema kilichomuondoa White Hert Lane ni mazingira mgumu ya upatikanaji wa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Spurs ambacho amedai kimesheheni wachezaji wazuri wenye kila sifa za kucheza kila juma.

Amesema kusajiliwa kwake huko St Andrwes kutamsaidia kurejea tena katika kiwango chake kama ilivyokua siku za nyuma ambapo amedai hiyo itarejea tena.

No comments:

Post a Comment