KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Tuesday, June 14, 2011

GODO AWEKWA SOKONI.


Uongozi wa klabu ya St Etienne umetangaza dau la kumuuza kiungo wa kimataifa toka nchini humo Blaise Matuidi ambae anatakiwa kwa udi na uvumba huko Parc des Princes yalipo makao makuu ya klabu ya PSG.

Uongozi wa klabu ya St Etienne umetangaza dau la paund million 13.2 (€15m) ambalo litatumika kama ada ya uhamisho wa mchezaji huyo kwa klabu yoyote itakayo hitaji kumsajili katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye msimu wa mwaka 2011-12.

Hata hivyo uongozi wa PSG tayari umeshaonyesha nia ya kuwa tayari kutoa pesa hizi kufuatia pesa za usajili zilizotengwa na wamiliki wa klabu hiyo kutoka nchini Qatar Kevin Gameiro pamoja na Nicolas Douchez.

No comments:

Post a Comment