
Mkurugenzi mkuu wa klabu ya Werder Bremen Klaus Allofs amesema wana matumaini makubwa ya kuendelea kuwa na beki kutoka nchini humo Per Mertesacker ambae bado anabembelezwa kusaini mkataba mpya.
Klaus Allofs amezungumzia matumaini hayo kufuatai mkataba wa sasa wabeki huyo mwenye umri wa miaka 26, kutarajia kufikia kikomo mwishoni mwa msimu wa mwaka 2011-12.
Hata hivyo taarifa zingine zinadai kwamba Per Mertesacker, huenda akaendelea na msimamo wake wa kutosaini mkataba mpya kufuatia klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza kuonyesha dalili za haja za kutaka kumsajili katika kipindi hiki.
No comments:
Post a Comment