
Real Madrid wamakubali kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya Banfica yua nchini ureno Fabio Coentrao kwa ada ya uhamisho wa paund million 27.
Real Madrid wamekubali kulipa kiasi hicho cha fedha baada ya beki huyo kumaliza vipimo vya afya atakavyofanyiwa mjini Madrid wakati wowote kuanzia sasa.
Coentrao mwenye umri wa miaka 23, bado alikua na mkataba na klabu ya Benfica hadi mwaka 2016.
No comments:
Post a Comment