KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, December 4, 2009

MAKUNDI YA 2010 YAFAHAMIKA.



Group A:

South Africa, Mexico, Uruguay, France



Group B:

Argentina, South Korea, Nigeria, Greece



Group C:

England, USA, Algeria, Slovenia



Group D:

Germany, Australia, Ghana, Serbia



Group E:

Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark



Group F:

Italy, New Zealand, Paraguay, Slovakia



Group G:

Brazil, North Korea, Ivory Cost, Portugal



Group H:

Spain, Honduras, Chile, Switzerland


Kwa muono wako wewe lipi ni kundi la Kifo?


Kwa taarifa zaidi kwa kutaka kufahamu ratiba ya fainali za kombe la dunia mwaka 2010 gonga hapa.

1 comment:

  1. Kwakweli hata mimi nilifuatilia huu uchaguzi wa makundi ,lakini hili kundi G niliona nikuuwana kabisa,kwasababu ni matimu vigogo tuu.Ila hii timu yetu ya Cote d ivoire inavibarua vyakukabiliana ni hivi vigogo vi 2.Lakini nawao pia ni vigogo.

    ReplyDelete