
Group A:
South Africa, Mexico, Uruguay, France
Group B:
Argentina, South Korea, Nigeria, Greece
Group C:
England, USA, Algeria, Slovenia
Group D:
Germany, Australia, Ghana, Serbia
Group E:
Netherlands, Japan, Cameroon, Denmark
Group F:
Italy, New Zealand, Paraguay, Slovakia
Group G:
Brazil, North Korea, Ivory Cost, Portugal
Group H:
Spain, Honduras, Chile, Switzerland
Kwa muono wako wewe lipi ni kundi la Kifo?

Kwa taarifa zaidi kwa kutaka kufahamu ratiba ya fainali za kombe la dunia mwaka 2010 gonga hapa.
Kwakweli hata mimi nilifuatilia huu uchaguzi wa makundi ,lakini hili kundi G niliona nikuuwana kabisa,kwasababu ni matimu vigogo tuu.Ila hii timu yetu ya Cote d ivoire inavibarua vyakukabiliana ni hivi vigogo vi 2.Lakini nawao pia ni vigogo.
ReplyDelete